Cheka Beauty Spot, tunatoa huduma mbalimbali zinazolenga kuboresha uzuri wa asili na afya ya tabasamu lako.
Matibabu yetu yamejikita katika suluhisho la kuhakikisha matokeo bora na salama kwa watej
Kusafisha Meno
Tunasafisha meno, kwa kutumia dawa asili za miti shamba.
Vyuma vya Kunyosha Meno
Hivi uvalishwa ili kurekebisha meno yakae sawa katika mstari ulionyooka.
Tunaziba Meno
Kwa meno yaliyotoboka tunaziba.
Tunatoa Ushauri
Tunatoa ushauri, kuhusu kinywa na namna ya kuboresha tabasamu lako.
Tunang’arisha Meno
Tunasafisha meno, kwa kutumia dawa asili za miti shamba.
Tunanyoosha Meno
Tunanyoosha meno kwa njia nyingi , kama kwa kuongeza jino ili kulinganisha na meno.